Ushauri; Acha wivu kwani nilipokuoa ulikuwa na Bikira.



Wadau, nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa umekuwa una jibu maswali mbali mbali kwa ufasaha sana. Kuna mambo mawili napenda kukuuliza


i)nafasi ya bikira kwenye kuoa. Je Mwanamme akioa binti asiyekuwa na bikira anakuwa ameoa mke wa mwenzie? 

Baba mmoja alikuwa anaugomvi na mkewe tatizo ilikuwa wivu, mwanamke alikuwa anataka kujua ameongea na nani? mbona anafuta msg kwenye simu yake ndo jamaa akamwamwambia mkewe kuwa kwani wakati nakuoa ulikuwa na Bikira? Mbona una kuwa na wivu wa kijinga? 

Je kuoa binti asiyekuwa na Bikira inaathari gani ndani ya ndoa.