Picha za zari zikonyesha Mimba ya zari AKiwa Tumbo Wazi Hizi Hapa.



Baada ya kuwa na uvumi kuwa mimba ya Zari ni kiki tu, Boss lady huyu kutoka Uganda ameweka picha inayonyesha mabadiliko ya tumbo lake mpaka sasa.