Maajabu ya Dunia; Msichana Amezwa na Boyfriend wake Baada ya Kubadilika na kuwa Nyoka wakifanya Mapenzi.



NIMETUMIWA NIMESHARE LADIES HII NI ZAWADI Ni
msichana mmoja ambaye alikutana na mwanaume
kwenye Mtandao wa kijamii unaoitwa Badoo, katika
kipindi chote hicho wanachati yule Jamaa alikuwa
Nigeria na yule msichana alikuwa Mombasa Kenya,
Jamaa alionyesha nia nzuri sana kwa yule
msichana kwani walizungumza mengi kiasi cha
kufikia malengo ya kuishi wote hapo baadaye, yule
mwanaume alionyesha kujali sana, na kumtumia
fedha nyingi sana yule dada kupitia Money gram
na western union, "demu akawa anakula Bata
mbaya, starehe za Hapa na pale, kila weekend
viwanja vyote vya Bata vinamjua" alikuwa na pesa
nyingi sana zaidi ya sana na kujiita lile jina la-"the
Boss lady" kama unavyojua siku hizi dada zetu,
akiweza kuingiza 10,000 kwa siku tu, anajiita 'Boss
Lady' Baada ya miezi kadhaa ndio yule M Nigeria
akamtumia Ticket ya Ndege ili yule Dada aende
Lagos Nigeria, Yule dada nae ikabidi amtafute best
friend wake ili waende wote! Yule Jamaa kwa kuwa
alikuwa na uwezo akatuma ticket mbili. Safari
ikaanza kutokea Kenya kulekea Nigeria, walipofika
Nigeria, yule Jamaa alikuwa akiwasubiri Air port
kuwapokea. Yule demu na mwezake walipoona
Jamaa kapaki Gari aina ya Escalade Jeep
walitahamaki, na kuanza kukonyezana "mmh,
shoga Hapa kuna pesa hapa" Walipofika nyumbani
kwa yule Jamaa majira ya saa moja hivi usiku!
Ndio ikabidi yule Dada akapumzike na yule M
Nigeria faragha, Yaani wakawa private room
wamepumzika, na yule mwingine akalala chumba
kinachofuata! Usiku kama Mida ya saa saba
akasikia makelele yanatokea Chumbani kule
walipolala wappendanao hao, hakuchukulia
maanani kwani alijua labda wanafanya matusi sasa
yule dada Labda ndio anakolezwa! Lakini cha ajabu
alisikia kelele nyingi halafu za kuomba msaada na
kutaja jina la rafiki yake! "Nisaidie Naomi, nakufa
uwiiiiiiiiiiii, mamaaaaweeee....!" kelele zilisikika.
Naomi ikabidi akurupuke, na kutafuta mbinu za
kuvunja mlango. Alifanikiwa kuvunja mlango
ingawa alitumia takribani kama dakika 50 hv Ghafla
alimuona nyoka mkubwa ndio anamaliza kummeza
rafiki yake, Naomi aliishiwa nguvu. Akaanza
kukemea" lile Joka likawa linamtazama Naomi kwa
ghadhabu sana, na kujilamba lamba, Naomi
alianguka chini nakuzimia hapo