Nimechoka Kuishi Mpweke Nataka Kidume wa Kuniliwaza ila Mwenye Mapenzi wa Kweli.

Naombeni ushauri... Nimechoka kuishi peke yangu natamani nipate mwanaume tuanzishe familia .... lakini kila anaenifuata moyo wangu unamkataa maana bado nampenda my x ambae aliniacha wakati bado namhitaji.