Hii ni kwa ajili yako wewe unaejiona mrembo na umeumbika




Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono,there is a life beyond attraction and sex.


Ndiomaana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba wnyw lakn anaoa demu wa kawaida mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwe halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini.

Hajakosa kitu amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji mwanamke msaidizi mshauri mbembelezaji, mtia moyo,mwenye maono.Sio mwanamke anajua Club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-Acquire Land.

Utashangaa na mkalio wako kama Dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawai kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa Charanga. Kama unadhani shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta.Tutaendelea kuoa vituko kwasababu vina akili na vinajiheshmu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama mtazamaji kwasababu hauolewi.