Mwanamziki kutoka nchini Nigeria anayejulikana kama kwa jina la Maheeda hivi juzi kati kupitia account yake ya mtandao wa kijamii wa instagram ameachia picha za video yake mpya lakin video hiyo ni balaa sidhani kama itakubalika kuruka hewani kutoka na sheria kali zinazotolewa na NBC,video hii ilifanyika Ikeja huko Nigeria