Hii ni aibu kwa elimu ya bongo mwanafunzi wa CBE atupia picha chafu kwenye mtandao angalia hapa
Ufinyu wa kufikilia hasa kwa watoto wakike bado tatizo kubwa kwa mataifa hasa ya afrika kwanza binafsi niwashukuru viongozi wa mataifa haya kwani wanajitahidi sana kuwasaidia wanawake lakini sasa naangalia wale wanaosaidiwa dah naishiwa pozi kabisa
KWA MFANO hapa kwetu tanzania mwanamke / msichana anapewa nafasi kubwa sana ila sasa hawa wanaosaidiwa ndio hamna kabisa hebu sasa kwa mfano jifikilie hawa wanafunzi wa vyuo wanaoamua kupiga picha na kuziweka kwenye mtandao kweli inawezekana wakawa viongozi wa taifa la kesho
Naomba viongozi wa vyuo wachukue hatua kali sana kwa watu wenye tabia hii hasa hapa nchini tena ikiwezekana wafutiwe vyeti vyao vya masomo kuanzia shule ya msingi
Mwanafunzi mmoja kutoka chuo cha biashara CBE ametupia picha chafu kwa mapenzi yake mwenyewe ila hatutoweza kuweka picha hizi kutokana na kwamba hazina maadili kabisa kwa jamii wanawake badilikeni