KUTANA MTOTO ALIYEZALIWA NA SURA MBILI, PATA FURSA YA KUTAZAMA PICHA YAKE HAPA



MADAKTARI wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.
Kwa mujibu wa taarifa za
hospitalini hapo, mtoto huyo mara baada ya kuzaliwa amekutwa ana tatizo la kupumua hivyo kumlisha kupitia mdomo, mpashaji aliliambia Gazeti la The Express Tribune.

Mtoto huyo ni wa tatu kuzaliwa kutoka kwa Bi. Shahida Perveen na mumewe Khalil Ahmed. Msajili wa hospitali hiyo, Dk. Qaisar Aziz ameliambia The Express Tribune kwamba mtoto huyo amehamishiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (Intensive Care Unit) katika wodi ya watoto na atakuwa katika uangalizi wao.

Hata hivyo, madaktari wameonesha kukata tamaa na kusema kuna uwezekano mdogo kwa mtoto huyo kuendelea kuishi na kukua. “Kumlisha kwa kutumia mdomo haiwezekani kwa sasa, tunamlisha kwa kutumia mipira maalum (Naso-gastric tube). Sura hizi mbili zinafanana,” alisema Dk Qaisar.

Mtoto huyo ana macho manne, pua mbili, midomo miwili na masikio manne, kwa maana kwamba ana sura mbili.
Habari zinasema mama wa mtoto huyo alipopimwa na mashine maalum, (Ultrasound) alionekana hana matatizo yoyote na alikuwa na afya njema.

Baadhi ya wananchi waliotoa maoni yao kufuatia tukio hilo, walisema dunia imetikisika kufuatia kuzaliwa kwa mtoto huyo wa ajabu na kuongeza kuwa hiyo ni ishara kwamba imefika mwisho.
Chanzo:Bongoclantz.com

ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSU UREMBO WAKE BAADA YA KUZAA...AWACHANA MASTAA WAOGA.!!




Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua, kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri.
Rose alisema, kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mkono mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya mtu azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka.“Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao, asikwambie mtu hamna kitu kizuri kama kuitwa mama, nimejitunza na nimezidi kuwa mrembo hata baada ya kuzaa,” alisema Rose.

SITOI RUSHWA YA NGONO KWA MAMENEJA..MSANII MAARUFU BONGO AFUNGUKA.


Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda.

STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda amewachana wasanii ‘wanaotembea’ na mameneja wao kwani ni ujinga wa mawazo na yeye kamwe hawezi kufanya hivyo.
Akizungumza na gazeti hili, Isabela alisema katika maisha yake hajawahi kuwa na uhusiano na meneja au prodyuza na huwa anawashangaa na kuwasikitikia wasanii wanaofanya hivyo wakati siyo njia sahihi ya kujikwamua kimuziki.

EEEHH...!!!! USIOMBEE UPATWE NA BUSHA KAMA HILI...!!!! HABARI PICHA



UGOMVI KATI YA WEMA SEPETU NA KAJALA..WEMA SEPETU AAMUA KUFUNGUKA UHONDO WOTE SOMA ALICHOKIANDIKA.

Watu wamekuwa wakizusha eti wema sepetu aligombana na kajala. Na reason behind ilikuwa mara tu baada ya kajala kupost picha ya mtoto wa victoria kimani. Na hiki ndicho kilichopostiwa na wema sepetu kupitia twitter. Na kurepostiwa na wema daily kupitia mtandao wa instagram 




clip_image002

PHOTOS: Big Booty Queen CORAZON KWAMBOKA Could Be Having A S3X Tape Out


Word doing rounds is that the lady of the moment is under pressure from someone who is in hold of explicit video of her an unidentified boomed into the public limelight thanks to her curves is being an,according to a source talking to Nairobi Exposed,Corazon who has blackmailed with the threat of leaking the said video online should she fail to pay 300k to keep it away.




Corazon in the moment

While speaking to NE the source who is in the circles of the lawyer cum model she says,"Lilly is really under pressure this whole publicity has brought in headache to her,she is currently at Kenya School of law for the higher diploma course and many people are saying the whole publicity and image will dent her reputation,now the person threatening to leak the explicit video online has worsened everything"



Corazon getting a handful

PICHA 6 ZA SHILOLE NA SERENGETI BOY WAKE MPYA WAKIFANYA YAO CHEKI HAPA.









KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.

Shilole akiwa na Nouh Mziwanda.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya kiumri , Shilole akionekana kuwa mkubwa zaidi ya Nouh.

“Shilole ni kama anambemenda Nouh lakini ndiyo hivyo, haoni wala hasikii, kila siku wako pamoja kama kumbikumbi,” kilisema chanzo chetu.

Waandishi wetu waliwafuatilia wawili hao kwa nyakati tofauti na kufanikiwa kuzinasa picha zao walizozipiga katika mikao ya kimahaba.
Baada ya kuzinasa picha hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Nouh na kumweka mtu kati kuhusu uhusiano wake na Shilole.

“Ni kweli ninatoka na Shilole ni mpenzi wangu na sidhani kama nitakuja kuachana naye maana tunapendana sana na nimevutiwa na mavituz yake,” alisema Nouh.
Kuhusu tofauti ya umri wake na ule wa Shilole, Nouh alisema umri huwa haumati katika mapenzi.

“Mapenzi ni mapenzi na umri utabaki kuwa namba tu, ni vyema mtu ukaongozwa na hisia zako kuliko kuhofia umri wa mtu ndiyo maana miye ninakula vinono,” alisisitiza.
Pia, Nouh alisema hakutarajia kukubaliwa na Shilole baada ya kumtokea walipokutana katika studio moja jijni Dar na sasa wamekolea kwenye penzi motomoto.

“Nampenda Shishi, nafanya kila njia nimshawishi awe mke wangu wa ndoa,” aliongeza.
Hata hivyo, Shilole alipozungumza na waandishi wetu alipatwa na kigugumizi kukubali uhusiano wake wa kimapenzi na kinda huyo wa Bongo Fleva.

Shilole alisema Nouh ni rafiki yake kama walivyo marafiki zake wengine.
Waandishi wetu walipomuonesha picha zao walizokuwa wamekaa katika mikao ya kihasarahasara, Shilole aliangua kicheko na kisha akasema:


“Mh! Sina la kuwajibu kama picha zinasema mimi na Nouh ni wapenzi haya.”
Hii siyo mara ya kwanza kwa Shilole kuripotiwa kutoka na Serengeti Boy, siku za nyuma alishawahi kuripotiwa na gazeti dada na hili la Ijumaa Wikienda akisema anapenda kutoka na ‘Serengeti Boys’.

MKUFUNZI WA CHUO MAARUFU APATA AIBU KUBWA BAADA YA KUONESHA KIMAKOSA VIDEO YA NG*ONO ALIYOFANYA NA DENTI WA CHUONI HAPO WAKAT ANAFUNDISHA DARASANI



Mkufunzi wa chuo maarufu, alijikuta akipata aibu kubwa wakati alipokuwa darasani akifundisha, ambapo alijisahau na kuzima video ya ngono aliyoifanya na denti wa kike, mara baada ya kugundua kuwa wanafunzi wanangalia video hiyo, alijaribu kuizima katika folder la video kwenye laptop yake

KUMBI ZA STAREHE BONGO UFUSKA MTUPU, MAMBO WANAYOFANYA WABONGO NI NOMAA







AIBU KUBWA; JAMAA AMPIGA DEMU WAKE BAADA YA DEMU HUYO KUKATAA KUMPA URODA JAMAA.





Jamaa mwenye umri wa miaka 25, amemshushia demu wake kichapo cha kufa mtu baada ya demu kukataa kumpa uroda

Tukio lilitokea alhamisi mchana mchana,kwa mujibu wa taarifa hiyo wawili hao walitoka out kwa matembezi, ndipo jamaa huyo aliposhikwa na mizuka ya kungonoka na mpenzi wake,inaripotiwa kuwa jamaa huyo alimuomba demu wake waende gesti ili wakapeane raha za dunia

Demu huyo alikataa akidai kuwa amechoka hadi watakaporudi nyumbani,ndipo jamaa huyo alipoanza kumtwanga mangumi demu wake hadharani

MCHUMBA WANGU ALALA NA BINAMU WAKE WAKIKE NIFANYAJE!!!!!!!!



My boyfriend got a job in Owerri and he had to stay with a his uncle who resides in the city. The accommodation was meant to be temporary but along the line, his uncle told him he could stay for as long as he wanted as his family are usually not around. He said his presence would give life to the house so it wont make the place dormant. 


My boyfriend got a job in Owerri and he had to stay with a his uncle who resides in the city. The accommodation was meant to be temporary but along the line, his uncle told him he could stay for as long as he wanted as his family are usually not around. He said his presence would give life to the house so it wont make the place dormant.
He decided to stay there. While staying there, a lady, a distant cousin to his uncle’s wife started her masters in FUTO. Since she was a masters student and didn’t want to spend much on accommodation, his uncle told her she could stay with him in the house.

They started well but along the line he always complains that she opens the door to her room while dressing up. He also complains that she wears skimpy dresses around the house. Trouble started when my boyfriend told me she came to his room with just a towel and started touching and caressing him.

He was able to gather his emotions and he told her to leave his room. The lady came again but this time, He confessed that he could not hold him self and he did everything foreplay other than the s*x itself. I started getting bothered and i told him to stay away from her and warned him to always close his door.

Just last Saturday, they were both home and while in the living room, he said she came on him again and did all sort and this time, they actually had s*x. He said he could not resist the temptation and it was as though he was not himself. When he told me, i just started crying. Sincerely im tired of the relationship. I have been thinking a lot about the issue. Its as though i cant trust him again. I don’t even know why he tells me all. Should i call it quit? Or should i move in with him in Owerri? I am confused. Please help!

Nimebeba zigo ambalo sikujua hii ndio hatima yake..Kila Ninae Mfanyia Jema Anataka Kunilipa kwa Penzi





Nina mchumba wangu anasoma chuo kikuu fulani hapa mjini, nimekuwa mshauri mzuri sana katika mswala yake mbali mbali, kwa kiasi kikubwa nimekuwa nikimudu hili jukumu mambo mengi niliomshauri amefanikiwa.

Kama kawaida ya akinadada sijui ni wote au badhi lakini wengi huwa wanakatabia haka kusifia mpenzi kwa mashoga, hapo ndo kizaa zaa kilipo anzia. Baada ya kunifisia kwa mwezake mimi ni mzuri kwenye maswala ya ushauri.

Basi kama ilivyo kawaida kila mazingira yana changamoto zake, hapo ndio uwezo wa mtu huwa unaonekana jinsi anavyo weza kukabiliana na matatizo,,kwenye hili wenzetu huwa linawapa shida kiasi fulani wanayokumbana nayo nimengi.

Masimulizi ya mchumba wangu yaliwafanya kuwa na hamasa ya kutaka kunijua na kupata mawasiliano yangu, ilitokea siku moja rafiki wa mchumba wangu akawa na tatizo fulani akamuomba anihusishe na mimi iliniweze kumpa ushauri, bila hiana nilishiriki tukafanikiwa katika hilo.

Sifa ikazidi kuenea kwa wengine ambao hawakunifahamu, nikawa nawashauri kimasomo na maisha mengine ya kichuo.

Wengi wao walivutiwa na kazi yangu ya ushauri, mambo yao mengi wakawa wananihusisha na mimi bila kusita kiwa nawasaidia, hayo yote yalikuwa yakifanyika kwa njia ya simu, nilijizuia kujenga mazingira ya kuonana nao sababu nilijua vishawishi ni vingi na mganga hajigangi.

Matokeo ya hayo yote yamegeuka kuwa zigo mchezo sasa umebadirika, ili shem haizingatiwi majina ninayopewa ni yanaleta vishawishi ya kuchepuka kama hauna uvumilivu, maana wanajenga mazingira ya kuninasa kila mmoja kwa wakati wake pasipo kujua, kwenye hili hawatanipata sioni sababu ya kumsaliti mpenzi wangu na sitaki ajue nitazua chuki kati yao.

Jamani hivi malipo ya kutenda jambo jema kwa mtoto wakike lazima akulipe mapenzi ndo aridhike?

Sio mara ya kwanza kusikia haya mambo kwamba mara nyingi mtoto wa kike ili aridhike unapomtendea jambo la kumfura hisha anajisikia faraja akikulipa kwa mapenzi. (Nisipigwe jiwe nasikia sikia na mimi ni tetesi sijui kama ni kweli)

Ila nashukuru mizinga hawajanipiga maana kwenye hili nalo nasikia hawajambo.

MIMBA YA DIVA YA WATOTO WAWILI YAMPA WAKATI MGUMU


Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi. Diva aliwahi kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha kuharibika.


Tazama picha na maneno aliyoshare instagram

a son was Hailey Presley Kaihula and a daughter was Georgia Montana Kaihula... #TheTwins.. Mommy lvs y'all. miss you more and i just love you My babies . RIP ... ❤️..... and today kinda sad coz i miss you even more.. Mngezaliwa 22.6.2014 ... But Mmekwenda... My gifts. My Precious. My babies ����... I Miss the heartbeat......... the heartbeat .. nitawasahau vipi? mhhh tell me ...


-swahilitz

SHILOLE ATAKOMA LINI? AJA NA SERENGETI BOY MPYA... LAANA HII.....!







KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya kiumri , Shilole akionekana kuwa mkubwa zaidi ya Nouh.
“Shilole ni kama anambemenda Nouh lakini ndiyo hivyo, haoni wala hasikii, kila siku wako pamoja kama kumbikumbi,” kilisema chanzo chetu.
Staa wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’.


Waandishi wetu waliwafuatilia wawili hao kwa nyakati tofauti na kufanikiwa kuzinasa picha zao walizozipiga katika mikao ya kimahaba.
Baada ya kuzinasa picha hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Nouh na kumweka mtu kati kuhusu uhusiano wake na Shilole.
“Ni kweli ninatoka na Shilole ni mpenzi wangu na sidhani kama nitakuja kuachana naye maana tunapendana sana na nimevutiwa na mavituz yake,” alisema Nouh.
Kuhusu tofauti ya umri wake na ule wa Shilole, Nouh alisema umri huwa haumati katika mapenzi.
“Mapenzi ni mapenzi na umri utabaki kuwa namba tu, ni vyema mtu ukaongozwa na hisia zako kuliko kuhofia umri wa mtu ndiyo maana miye ninakula vinono,” alisisitiza.
Pia, Nouh alisema hakutarajia kukubaliwa na Shilole baada ya kumtokea walipokutana katika studio moja jijni Dar na sasa wamekolea kwenye penzi motomoto.
“Nampenda Shishi, nafanya kila njia nimshawishi awe mke wangu wa ndoa,” aliongeza.
Hata hivyo, Shilole alipozungumza na waandishi wetu alipatwa na kigugumizi kukubali uhusiano wake wa kimapenzi na kinda huyo wa Bongo Fleva.
Shilole alisema Nouh ni rafiki yake kama walivyo marafiki zake wengine.
Waandishi wetu walipomuonesha picha zao walizokuwa wamekaa katika mikao ya kihasarahasara, Shilole aliangua kicheko na kisha akasema:
“Mh! Sina la kuwajibu kama picha zinasema mimi na Nouh ni wapenzi haya.”
Hii siyo mara ya kwanza kwa Shilole kuripotiwa kutoka na Serengeti Boy, siku za nyuma alishawahi kuripotiwa na gazeti dada na hili la Ijumaa Wikienda akisema anapenda kutoka na ‘Serengeti Boys’.

FUMANIZI NJEMBA MOJA YAKAMATWA LIVE IKILA URODA NA MWANAFUNZI KWENYE GARI LAKE







Jamani haya Magari yetu yamegeuka kuwa Gesti House siku hizi, Maana haka kamchezo kameshamiri hapa jijini Dar ...Hiki ndicho kilichomkuta njemba huyu Baada ya kunaswa akila Uroda na mwanafunzi kwenye gari yake.

Mwanamke Huyu Khaaaa...Nahisi Nabambikiwa Live Live..Kaniona Zoba




Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho. Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu mwanzoni akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa, nilischofanya ni kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu. Nikamwambia mbona hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema alikuwa anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua ananizuga au anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee hiyo mimba utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea majibu, kama siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe. Akasema sawa. Wiki hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe hela kwa sababu anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya matumizi mara ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika kutaka hela.

Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakuna maelezo. Hivi si kashapoteza ushahidi, na mimi sitaki anavyonisumbua, nifanyeje?

Nimetumia Dawa za Kukuza Kuku wa Kisasa Kukuza Makalio Yangu



"I had always wanted to have a bigger butt since high school i felt my figure one shape wasn't sexy enough and made me unattractive to men, i never got to be hit on by men as much which as a lady got me worried and concerned. When i joined campus all my friends were getting hooked up but me, a friend advised me to buy the booty pads which i bought at 3k in town, surprisingly i started getting advances but my fear of going to bed and the man discovering the secret kept me away from sleeping with them,i felt lonely inside i couldn't get to enjoy"

She continued, "in a secret Facebook group which im a member, a lady suggested the chicken feeds trick which would fatten and give you a big ass in few months, i contacted and she organized it for me,i finally found the solution to my problem. I started using them around may last year and by August the magic was showing i had added weight and my butt was getting bigger day by day. By December last year they got extremely big beyond my preference so i stopped usage. I was okay and so i thought" confessed Cathrine* to Nairobi Exposed.

As you are about to discover the problems were yet to start and the big butt didn't only bring relief to her but also grief, "it was too big that made me so uncomfortable, the toilet seat at home was never enough which inconvenienced me, people around started giving me raised eyebrows looks. Now i joined the gym to reduce it, i walk to town daily from Buru Buru to shake off this baggage but nothing seems to work. Now last three weeks i have noticed puss swellings in my butt and are very smelly when burst. It has got me worried, i researched and read about consequences of butt enhancers and im now sleeping and walking with fears of a cancer infection, I’m only 22 and yet to finish campus and already cancer could be in the equation and it is all my fault and naivety i hate my life" confessed Catharine* amidst tears while talking to NE.

She has what is known in the streets language as 'figure number nane' big butt but she now has to live with even bigger problems.

PICHA ZA AGNESS MASOGANGE KWENYE UPIGAJI WA PHOTOSHOO NI SHIDA ONA MWENYEWE...



Video vixen Agnes Gerald Masogange akiwa kwenye photoshoot kwenye eneo fulani, au kama wanavyoita, “location.” Mrembo huyo amepost picha hizi kwenye Instagram.









Hii ni aibu kwa elimu ya bongo mwanafunzi wa CBE atupia picha chafu kwenye mtandao angalia hapa




Ufinyu wa kufikilia hasa kwa watoto wakike bado tatizo kubwa kwa mataifa hasa ya afrika kwanza binafsi niwashukuru viongozi wa mataifa haya kwani wanajitahidi sana kuwasaidia wanawake lakini sasa naangalia wale wanaosaidiwa dah naishiwa pozi kabisa


KWA MFANO hapa kwetu tanzania mwanamke / msichana anapewa nafasi kubwa sana ila sasa hawa wanaosaidiwa ndio hamna kabisa hebu sasa kwa mfano jifikilie hawa wanafunzi wa vyuo wanaoamua kupiga picha na kuziweka kwenye mtandao kweli inawezekana wakawa viongozi wa taifa la kesho


Naomba viongozi wa vyuo wachukue hatua kali sana kwa watu wenye tabia hii hasa hapa nchini tena ikiwezekana wafutiwe vyeti vyao vya masomo kuanzia shule ya msingi


Mwanafunzi mmoja kutoka chuo cha biashara CBE ametupia picha chafu kwa mapenzi yake mwenyewe ila hatutoweza kuweka picha hizi kutokana na kwamba hazina maadili kabisa kwa jamii wanawake badilikeni

LAANA TUPU...KWA KUFURU HIZI..UKIMWI KUISHA NI NDOTO ZA ALINACHA...!!JIONEE MWENYEWE HAPA







 


PICHAZ..HATARI SANA...SNURA AFUMWA LIVE KWA SANGOMA AKIFANYA YAKE....!!JIONEE MWENYEWE HAPA...


Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini...

Kupitia website ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki wa karibu wa snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la ndumba...

Kutokana na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa kumfwatilia Msanii huyu, ambapo siku ya leo mtego wetu ulinasa kwenye 18 baada Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo hata mtu wake wa karibu ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za matandao huu mpana ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo jekundu akiwasili kwa sangoma na kufanyiwa ndumba...


CHEKI HAPA PICHA ZAKE  

NGOMA INAYOITWA BAIKOKO NI LAANA TUPU, TAZAMA HII HAPA UONE ILIVYO NA LAANA





Sijui ni laana au vp!! Mtanisamehe watu wa Tanga na tamaduni zenu hizi...hii ni moja ya ngoma zinazochezwa sana huko pwani. Kwa kweli hazifai hata kidogo hasahasa kuchezwa hadharani kama wanavyofanya. Kuna video moja ambayo sio nzuri kuangalia kwa kweli


 (WAKUBWA TU NDIO MNAWEZA KUANGALIA)

YATAMBUE MADHARA YA KUTO KUFANYA MAPENZI KWA MDA MREFU KWA WANANDOA.



Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.


Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uk*e na u*me kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).


Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia s*x toys, dildo(vibrant artificial pen!s zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.


Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uch**i,
Kusahausahau,
Kupendelea story za map#nzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.