Nikipata goli moja tu nachoka, tatizo mpenzi wangu
Nina mpenzi wangu na nipo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi,tatizo ni kwamba mpenzi wangu anatoka maji ukeni, hivyo najikuta natumia nguvu nyingi kupata goli moja hivyo hunifanya nikose hamu ya kurudi tena uwanjani.
Ndugu wana MMU naomba ushauri wenu ili hili tatizo la mpenzi wangu kutoka maji ukeni liishe ili nami nifurahie penzi la mpenzi wangu kama wanavyofurahia watu wengine kwa wapenzi wao.
Msaada tafadhali.