Diamond Platinumz amepost kwenye
Instagram kipande cha wimbo wa Taarab
kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na
mpenzi wake Wema Sepetu watengane.
Katika kipande hicho cha video,
ameunganisha picha mbalimbali akiwa
amepoz na Wema kuonesha jinsi
ambavyo penzi lao liko Imara.
Siku chache zilizopita Diamond na Wema
Sepetu walikuwa mada kubwa baada ya
mashabiki wa Wema kuanzisha kampeni
yenye hashtag #BringbackOurWema,
wakimtaka Diamond amrudishe kwenye
chart yake Wema ambaye walidai
amejikita kwenye mapenzi zaidi hivi sasa.
designer and presenter kutoka kimapenzi
na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa
Bongofleva.
Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na
Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa
muda sasa ila kwa siri kubwa ikidaiwa
wote hawakuwa tayari kuweka uhusiano
wao hadharani na media kuanza
kuwafuatilia . Inadaiwa pia kuwa Ommy
alikuwa anatoka kimapenzi na Vanessa
Mdee lakini baada ya Vanesa
kugundua kuwa Jokate anamzunguka
zikawa haziivi tena na huchekeana
kinafiki tu wakikutana in public. Kwasasa
Jokate na Ommy wanaliendeleza libeneke
la huba kwa siri ingawa gossip mongers
tayari wameshawawahi ! . Habari zinaingia
ndani zaidin kwa kusema kuwa Jokate
alikuwa pia akienda mikocheni
alipodaiwa alikuwa nakaa Dimpoz sababu
ya penzi kukolea.
Hata hivyo si Jokate , Ommy wala Vanessa
ambaye amepatikana kuzungumzia issue
hii but habari akiziona watafunguka tu .
Kupitia kurasa yake ya mtandao wa Instagram Mchekeshaji Maarufu Afrika Mashariki pia ni Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ama waweza muita "Street Pastor" ameandika:
Street Pastor Anasema..Hili swala la diamond na wema nadhani mungu amemuhurumia mmoja wapo kati ya hao wawili. Kama wangekuwa watu wa kuoana wangesha oana uchumba gani mrefu kama wanasomea udokta???? Rafiki yangu nasib, kama kweli mlipendana kwa dhati hizo kasoro zinarekebishika, maana hakuna mwanadamu aliye sahihi kwan hata ww nasib unamapungufu yako. Na wewe dada yangu wema lazima ujue mme ndio kichwa cha nyumba kwa maelezo hayo inaonyesha haumsikilizagi mwenzio omba msamaha tenaaa na tena na ukubali kubadilika. Mi sipendi mkiwa mnaongozana wote kwenye ma show ya usiku mme kafanye kazi mke abaki home ukirudi mwili umepoa hata ujauzito unaingiaa!! Sasa woote stejini mkirudi miili ya moto si mtazaa popompoo jamaniii!! Nitafurahi kusikia tofauti zenu mmezimaliza kwa amani ili mashabiki wenu wasijisikie vibaya.
Msanii wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Irene Paul amepost picha akiwa na mume wa Flora Mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao ni
wapenzi kwa sasa na hasa wakichelea matatizo yz ndoa ya Mbasha. Hata hivyo Irene Paul hakuweza kuwajibu mashabiki wake hivyo wengi kubaki njia panda!
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo yanavyosema:
@diamondplatnumz mambo vipi? Sisi mashabiki wa @wemasepetu tunakuomba umsaidie Wema kama yeye anavyokusaidia. Labda niseme kwa uwazi bila woga kwamba mahali ulipo kimziki umefika sababu ya Wema. Wengine hatukuwa mashabiki wako lkn sababu ya mapenzi kwa Wema tukajilazimisha kukupenda tu… so unajua vema bila wema we mziki huna!SOMA ZAIDI>>
KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana maraha. Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki yake na kufanya mchezo wa kikubwa.
dah hawa dada zetu mmh wanapgawa sana na wasanii sana ebu tazama huyu dada baada ya mziki kumnogea alimua kuvua nguo
yake ya ndani live bila wasiwasi wowote na kusababisha watu waliokuwepo kumshangilia kwa nguvu
Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, nimeanza kuamini hii dunia inaelekea ukingoni sasa. Hawa watu mimi siwaelewi, hivi gesti hakuna mpaka wafanye mapenzi ndani ya gari?
Chakutisha kabisa kuna picha tumeziweka hapo chini kwa ajiri ya wakubwa waone kwanini hawa watu wameamua kufanya hivi tena bila uoga.
Chanzo chetu kitazidi kuanika haya mambo hadharani ili wakijiona labda watabadilika
HEBU WATU WAZIMA WABOFYE HAPA WAONE AIBU HII
BOFYA HAPA PICHA YA 1
BOFYA HAPA PICHA YA 2
BOFYA HAPO PICHA YA 3
Huyu Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo ripoti siku za nyuma kidogo..[SOMA HAPA]
Wiki kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA.....Hadi sasa Calisah amefuta picha zote za Wolper kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha
Leo kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE akiwa na CALISAH katika mapozi ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama unavyoziona....Jiongeze kiutuuzima!!!
Huyu ndio mwanamke alimzalia mtoto msanii MR BLUE...cheki yake picha na video clip akionyesha ni kiasi gani alivyo mrembo!!